KLH News On Saturday...

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,460
39,928
Natarajia kuwa na ugeni toka serikalini "live"... kuzungumzia kinachoendelea nchini... DO NOT MISS IT! Nitataja jina na cheo cha mzungumzaji an hour before the show! Jumamosi kuanzia saa saba mchana kupitia http://www.bongoradio.com
 
Mkjj,
Naomba utaje masaa pia kwa nyakati za Afrika ya Mashariki. Maana siye wengine tulioko Makambako hatuwezi kujua huko 'kijijini' kwenu ni saa ngapi. Ahsante.

SteveD.
 
Mwanakijiji kwa kuweka watu matumbo moto hujambo.
 
hahhahaaha... itakuwa kati ya saa nane EST (saa saba CST) sawa na saa tatu za usiku za Makambako (EAT) na kwa wale wengine itakuwa ni -5GMT. Si unajua tena inaitwa kuchombezea....
 
Saa 1.00 usiku (19:00 hrs BST) UK summer time.
 
Mwanakijiji,

Umemfuma JK nini? Tuambie jina mapema ili tuweze kuandaa maswali, hata kama ni saa moja kabla ya muda.
 
Kabisa, nitataja hivyo vyeo nisije kumezwa bure.. na lazima nikumbushie pia kuwa mgeni wangu alikuwa kiranja mkuu pia! Saa saba za EST na nitawawekea jina saa moja kabla as soon as final confirmation imefanyika...
 
Hola! Hola! Walete mwanangu, walete! walete1 tule nao sahani moja mkuu hiyo kesho iwe kumkoma nyani mchana kweupe giladi, hakuna msamaha, kama hawezi asije kabisaaa,

Tena mkubushe mapema kuwa tunao mkataba wa Buzwagi tayari, Oh I love it every second of it, Heshima mbele mkuu mwenzangu MMJ,

Mazee Geeeeeezee! Geeque! Respect Makuuu!
 
Kwi kwi kwi!!!!! Mimi simo nisije nikaleta ugomvi

Kweli kabisa.... ukileta fyokofyoko siku hizi unafyekelewa mbali na ASIYEONEKANA, maana naona huruma imeanza kumnyonyofoka baada ya kuona watu hawadidimizi yasiyo na maana jamvini !!:D

SteveD.
 
Yupo Kyela, ananyonyoa sungura tayari kumkaanga! :)

SteveD.

Kumbe kada yumo kwenye msafara wa wanaotukanwa?

Mshikaji jiondoe huko maana unaweza kuuawa kwa kupigwa mawe na wanao wakapata baba wa kambo bure!

Unayatetea mafisadi wakati yenyewe yanahamisha pesa nje ya nchi?
 
Kumbe kada yumo kwenye msafara wa wanaotukanwa?

Mshikaji jiondoe huko maana unaweza kuuawa kwa kupigwa mawe na wanao wakapata baba wa kambo bure!

Unayatetea mafisadi wakati yenyewe yanahamisha pesa nje ya nchi?

Mtanzania, Kada angelikuwepo ningeweka neno 'lol' hapo juu kwenye reply yangu maana analipenda sana, ila hayupo kwa sasa ana enjoy paja na masikio ya sungura ya kuoka, hivyo hilo neno nimelibania mpaka atakaporudi... he he he

SteveD.
 
Jamani Kada Yuko wapi.. Friday is not the same without him...

Kuna possibility Kada kasusa, au kajiunga na bandwogan ya Machambuzi the quiter maasai..........the other day nadhani juzi or something alipewa sua yake hapa kwenye thread flani na invisible, since then jamaa kapotea!!!!! lol. Anyways hizo ni speculations zangu.
 
Ndugu zangu, lakini tunaposema haya yote tukumbuke kuwa kuna mtu hapa kajiunga na credentials zake ni siri kubwa kuliko majimamboz ya Area 51, naye anaitwa 'Kada'sAdvocate'... hivyo basi, labda tusiseme mengi mpaka tuhakiki kuwa hawa ni nafsi mbili tofauti!!!!

SteveD.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom