Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,392
- 39,495
Baadaye leo kwenye majira ya saa saba EST sawa na saa sita CST ambayo ni saa mbili za usiku EAT, nitapata nafasi ya kuzungumza na kiongozi mmojawapo wa ngazi za juu wa CCM. Kama hakutatokea matatizo yoyote ya kiufundi au vinginevyo, basi mahojiano hayo yatarushwa moja kwa moja kupitia bongoradio.com..