Klabu ya Simba yaahirisha taarifa iliyokuwa itoke saa 2:30 kuhusu Mtendaji Mkuu

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
Klabu ya Simba yenye maskani yake mitaa ya Msimbazi Jijini Dar es salaam, imeahirisha taarifa ambayo iliyokuwa itoke saa 2: 30 usiku kuhusu Mtendaji Mkuu wa Klabu hiyo.

"Taarifa ya Mtendaji Mkuu iliyokuwa itoke saa 2: 30 usiku imeshindikana kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu".

"Pole na samahani kwa usumbufu". Simba SC
 
Ila C.E.O ajitathmini minong'ono ya wachezaji kama BM viongozi ndani na nje ya club juu yake imekua mingi kuna mahala ana fit sana au anapwaya.
 
CEO hamtaki Morisson, Try again na kikundi chake wanataka Morrison abaki umbumbumbu ni.
CEO ana amua ajiuzuru kwakua ana amin baadhi ya viongozi wajuu wanatofautiana mtazamo, MO anaingilia kati, CEO anafuta mpango wake wa kujiuzulu.
Muvi lipo patamu tunasubiri episode iendelee.
 
Klabu ya Simba yenye maskani yake mitaa ya Msimbazi Jijini Dar es salaam, imeahirisha taarifa ambayo iliyokuwa itoke saa 2: 30 usiku kuhusu Mtendaji Mkuu wa Klabu hiyo.

"Taarifa ya Mtendaji Mkuu iliyokuwa itoke saa 2: 30 usiku imeshindikana kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu".

"Pole na samahani kwa usumbufu" Simba SC
kwanini wasinge confirm kwanza ndio watoe hio taarifa hii ni kuwapa watu loophole ya kusambaza maneno ya uongo
 
Watu walisimamisha masikio kuona kunatokea nini, lakini ghafla taarifa imeyeyuka..!

CEO Barbra yupo sana Msimbazi Yaani.
klabu mashuhuli brail na amerika ya kusini the Flamengo inamilikiwa na mwanamke. kaiskuka klabu vizuri sana mpaka leo inatisha duniani. leo iweje simba mashabiiki wamuondoe mama gonzalel kwa kumsukia majungu tuu. hii ndo inayoirudisha SSC nyuma kuona mwanamke hawezi kuisuka timu. achaneni na majungu mama barbara huyo yupo Gado!
 
CEO hamtaki Morisson, Try again na kikundi chake wanataka Morrison abaki umbumbumbu ni.
CEO ana amua ajiuzuru kwakua ana amin baadhi ya viongozi wajuu wanatofautiana mtazamo, MO anaingilia kati, CEO anafuta mpango wake wa kujiuzulu.
Muvi lipo patamu tunasubiri episode iendelee.
Hao wanaomtaka BM watumie akili,mchezaji ana shida juu mpaka chini unamtakaje
 
Barbra amekuja kuondoa tabia za kiswahili pale Simba SC, ndio maana anapigwa vita mpaka na wazee waliowahi kuitumikia Simba SC zamani.

Niko upande wa Barbra, huyu ndie mtu sahihi wa kuondoa mentality za kiswahili zilizojaa kwa wale wajumbe wengi wa bodi.

Hata kama wakimchukia na majungu mwngine kama anatembea na Mo asikate tamaa, Simba iko sehemu salama sana chini ya uongozi wake.

Kama issue ni kuhusu Morisson, hao aanomtaka abaki ndio waswahili wenyewe, wao wanawaza kuwakomoa utopolo tu, hawaangalii tabia mbaya ya Morisson inayoweza kuharibu tabia za wachezaji wengine hasa vijana, Moeisson aondoke.
 
klabu mashuhuli brail na amerika ya kusini the Flamengo inamilikiwa na mwanamke. kaiskuka klabu vizuri sana mpaka leo inatisha duniani. leo iweje simba mashabiiki wamuondoe mama gonzalel kwa kumsukia majungu tuu. hii ndo inayoirudisha SSC nyuma kuona mwanamke hawezi kuisuka timu. achaneni na majungu mama barbara huyo yupo Gado!
kumiliki ni kitu kimoja na kuongoza ni kitu kingine

Yeye anamiliki lakini kuna management

Ni sawa na Bakhressa kaishia la saba lakini makampuni yake yanafanya vzr kutokana na kuwa na management nzuri

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom