Klabu ya mpira azam kumbe kumekucha wanayo mabasi mazuri hongera

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,082
1520660_447505738682389_1899642153_n.jpg



1521796_447606328672330_1410033424_n.jpg



1525130_447606332005663_1136216342_n.jpg


CHOO CHA KUSHUSHA HAJA KUBWA HICHO HAKUNA KUCHIMBA DAWA PORINI UNASHUSHA HAPO HAPO MZIGO.
 
Isije ikawa wachezaji azam ni punda wa madawa mkadhani juice na bidhaa za azam tafakari
 
Yeah,wana kilakitu kinachopaswa kwa wachezaji.
Wadhihirishe uwanjani Tanzania na nje ya mipaka yetu kwa kusakata kabumbu.
 
Back
Top Bottom