Lily Tony
JF-Expert Member
- Feb 6, 2019
- 2,902
- 3,739
Dakika mbona kama zimeganda. Mungu saidia tu maana huu ushabiki utanitoa roho
Dakika mbona kama zimeganda. Mungu saidia tu maana huu ushabiki utanitoa roho
dk mbona kama zimeganda.Mungu saidia tu maana huu ushabiki utanitoa roho
Simba tunakosa mabao ya wazidk mbona kama zimeganda.Mungu saidia tu maana huu ushabiki utanitoa roho
Relax mkuu huo ni mchezo tu usije ukakufanya ukawapa usumbufu ndugu zako.... Jifunze tu kubalance mahaba...dk mbona kama zimeganda.Mungu saidia tu maana huu ushabiki utanitoa roho
Hiyo ni sheria mpyaNaomba kueleweshwa hii do moja ya kunywa maji ikoje na kwanini iwe hivyo??
kwa Simba nimefail kubalance mahaba😂😂Relax mkuu huo ni mchezo tu usije ukakufanya ukawapa usumbufu ndugu zako.... Jifunze tu kubalance mahaba...
Na hivi jua limeondoka uwanjani watakua na nguvu mpyaSimba hatutakiwi kupoteza concentration hata sekunde...maana 75+ huwa ni dakika zao pia hawa jamaa,mara hupata pumzi upya.
invisible catSijaona paka mweusi
Tulia wewee.Sijaona paka mweusi
Hata Simba ni jamii ya paka, aache kuteseka.invisible cat
Endelea tu kubinya mkuu,daaah mimi na manula tuna kazi ya ziada
mwenzangu gloves zinaumia upande wa pili huku testicles
Hahhaa hapo itabidi upambane na hali yako... Angalia usije kukata moto kwenye kibanda umiza cha watu ukaleta mtafarukukwa Simba nimefail kubalance mahaba😂😂