Hakuna goli mkuuHapo Simba wasipoongeza la pili kabla ya dakika 75.. ngoma droo
Utaitwa Utopolo....we sifia tu.Simba bado tunashindwa kumalizia nafasi tunazotengeneza mpaka najiuliza hivi ni nani aliyetuambia huyu mgalu ni top striker
Mpira si uishe jaman
68dk ya ngapi?
😁😁😁Umeisha..
70dk ya ngapi?