Ikiwa si kweli unaweza ukadharaulika na kujishushia heshima yako maana watu wanakuheshimu humu.Goooooooooooooooooo.
Chama mwamba wa Lusaka anaongeza la pili hapa.
Lwanga wakulaumiwa.Hapa nilipo tanesco wamekata umeme
Dah! Hata sielewi
NakubaliiiWakati mwingine WanaYanga muwe na roho ya Kimpira... SIMBA wanacheza kandanda jamani tuache ushabiki maandazi THIS IS SIMBAAAAAA
Unaona kinachotokea sasa? Hawa jamaa mwishoni huwa hawaelewi somo.Na hivi jua limeondoka uwanjan watakua na nguvu mpya
Punguza wenge.. Kaumia.unamtoa konde.... we kocha u timamu kweli?
Yanga tujipange sana aisee...