Klabu bingwa Afrika: Simba SC 1-0 Al Ahly

Simba- Al Ahaly uwanja wa mchina, wachezaji 8(73%) watakaoanza mechi ni wageni (Zana, Kwasi, Murshid, Wawa, Kotei, Chama, Kagere, Okwi) na 2(23%) ya watakaoanzia benchi ni wageni. Hii inamaana kuwa ni watanzania 3 tu (Manula, Mkude na Bocco) ndio wanaoaminiwa na Kocha. Huu ni msiba mkubwa kwa taifa stars, tff na watanzania kwa ujumla wake. Maana yake watanzania pale Simba ni malonyalonya tu.

Simba ni ya watanzania au watanzania wako Simba?

Tanzania tunaipeleka wapi? TFF ni lazima ijiuzulu vinginevyo Tanzania tutaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu
Bora wangepangwa wabongo hata wakichapwa sio mbaya ...maana ndio kujifunza sasa hapa wageni watupu...
 
jamani eheee badoo tuuu mnyama aja 'raruliwa' mapemaaaa tukaanze kujipongeza kwa kilaji baridiii
 
Leo Simba wamejitahidi? Mpaka sasa hwajafungwa?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom