KKKT kuadhimisha miaka 500 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam

Crimea

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
24,871
33,364
Ni katika maadhimisho ya miaka 500 tangu kuanzishwa kwa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri. Waumini wote wa kanisa hili katika Dayosisi ya Mashariki na Pwani(DMP),watakusanyika kufanya ibada ya pamoja pale uwanja wa Taifa kuanzia saa 2 asubuhi.

Itakuwa ni ibada ya kipekee ambapo maelfu ya watu wanatarajiwa kuhudhuria ibada hiyo ambayo itahudhuriwa pia na askofu wa DMP Dr. Malasusa.

Tutashuhudia kwaya zenye mamia ya watu wakiimba kwa pamoja kutoka katika kila jimbo.

Wote tukaribie.
 
.....afu utakuta wanamwalika mgeni rasmi mtu kama DAB!
 
Nawatakia kila la heri.
Pia nawaombea hali ya hewa iwe rafiki (kusiwe na mvua).
Mwisho, kama mtaweza kulusha live itapendeza sana.
 
Ni katika maadhimisho ya miaka 500 tangu kuanzishwa kwa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri. Waumini wote wa kanisa hili katika Dayosisi ya Mashariki na Pwani(DMP),watakusanyika kufanya ibada ya pamoja pale uwanja wa Taifa kuanzia saa 2 asubuhi.

Itakuwa ni ibada ya kipekee ambapo maelfu ya watu wanatarajiwa kuhudhuria ibada hiyo ambayo itahudhuriwa pia na askofu wa DMP Dr. Malasusa.

Tutashuhudia kwaya zenye mamia ya watu wakiimba kwa pamoja kutoka katika kila jimbo.

Wote tukaribie.

Pia kuna sherehe za watoto kupata komunio ya kwanza kama sijakose ni kipaimara
 
Ni katika maadhimisho ya miaka 500 tangu kuanzishwa kwa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri. Waumini wote wa kanisa hili katika Dayosisi ya Mashariki na Pwani(DMP),watakusanyika kufanya ibada ya pamoja pale uwanja wa Taifa kuanzia saa 2 asubuhi.

Itakuwa ni ibada ya kipekee ambapo maelfu ya watu wanatarajiwa kuhudhuria ibada hiyo ambayo itahudhuriwa pia na askofu wa DMP Dr. Malasusa.

Tutashuhudia kwaya zenye mamia ya watu wakiimba kwa pamoja kutoka katika kila jimbo.

Wote tukaribie.

kkkt kwaya zenu zina Tabia ya kupiga playback kanisani majirekebishe jamani Msije kuwa Kama walokole
 
Tuiombee siku hii adhimu ambayo hutokea mara Moja maishani

Miaka 500 si haba, kuja kuiona tena miaka 500 mingine ni vilembwe vyetu sio sisi tena
Tunaiombea siku hii ikawe siku ya baraka, hali ya hewa iwe rafiki ukizingatia kuna ibada ya kipaimara pia
 
Back
Top Bottom