KKKT imempa Dr Mengi heshima yote ya ibada ya mazishi

kama unasikiliza sasa hivi muda huu mchungaji amelizungumzia hilo alishatubu akarudi kundini akiwa na mkewake mpya
Tukisema kwamba hatuna dhambi, tunajidanganya, Marehemu alitubu dhambi zake yeye pamoja na mke wake. Kanisa likawarudisha kundini. Full stop
 
Msiba mkubwa; Ilikuwa lazima azikwe kwa Ibada ya Mazishi,tatizo letu wabongo tunapenda sana kuhukumu Bila kusamehe...
 
Pole sana dada Jaklyin kwa msiba mzito , Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi.
 
askofu kasema mengi na mkewe jacky walishaenda kuungama kanisa la karibu na nyumbani kwao chekereni....nyie waropokaji ambao hamjui principles za kuungama...tuachieni wenye kanisa letu...tunajua sheria za kanisa letu

Sijamtaja Jak simjui na haniusu, tulizungumzia maziko ya Mengi na Mambo yake Mengi
 
Wale mliohoji kuhusu ibada ya mazishi. Dr Mengi hakuwahi kuachana na mkewe wa kwanza hivyo amezikwa kwa heshima zote za kanisa
Hujaelewa,Askofu kajibu kuwa Mengi na Jack Walirudi kundini na kubariki ndoa yao 2014.Hivyo ndoa ya Mengi na Mercy ilikufa.
 
Hujaelewa,Askofu kajibu kuwa Mengi na Jack Walirudi kundini na kubariki ndoa yao 2014.Hivyo ndoa ya Mengi na Mercy ilikufa.
Sasa walibarikije ndoa wakati mke wa kwanza alikuwa bado hai, kwa hiyo kkkt wanaruhusu talaka siku hizi au?
 
Kipato huwa kinawafanya wachungaji kubadilika, nani asiyetaka hizo sadaka za leo Sky Eclat
Unapoongelea habari za Mungu usiwe unakurupuka na kuhukumu,
Kanisa linafanya lifanyayo siyo kwa matangazo,
Askofu alilieleza vizuri kabisa,
Mimi siyo kkkt lkn nilimuelewa sana,kusudi la Mungu siyo kifungo,
Ni kujitakasa na kurudi kundini
 
Askofu amesema Mrehemu na mkewe walirudi kundini mwaka jana mwezi wa kumi hivyo yeye ni nani hata asisamehe dhambi, nani asie na dhambi? (alirudi kundini kabla mke mkubwa hajafariki) naona kanuni mpya imeanza kutumika.
Yategemea na sababu ya kutengana,siyo kila kutengana kunakidhi vigezo vya kuruhusiwa upya
 
Sasa walibarikije ndoa wakati mke wa kwanza alikuwa bado hai, kwa hiyo kkkt wanaruhusu talaka siku hizi au?
Toka awali ilikuwepo,inategemea na sababu ya talaka,lkn ni shida sana na Mara chache sana kulingana na tatizo,
 
Back
Top Bottom