Kizza Besigya akamatwa akihimiza kupinga kuondolewa kwa ukomo wa umri wa Urais

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Dr. Kizza Besigye, amekamatwa na polisi nchini humo kufuatia sakata la baadhi ya wabunge na wananchi nchini humo kupinga suala la ukomo wa urais.

Bez.jpg

Dr. Besigye amekamatwa leo mchana katika mji mkuu wa nchi hiyo Kampala, ambako alikuwa amekwenda kuhamasisha wafuasi wake dhidi ya kuondolewa kwa Ibara ya 102 (b) ya katiba ya nchi hiyo, ambayo inaweka kikomo cha umri wa urais akiwa na umri wa miaka 75.

Wakati wa tukio hilo Dr. Besigye alikataa kushuka kwenye gari yake alipoamrishwa na polisi, na kuwalazimu polisi hao kuliburuza gari hilo hadi kituo cha polisi na kulipaki, huku Kizza Besigye akiwa ndani ya gari.

Mbali na Dr. Besigye Mjumbe wa Bunge la Afrika Mashariki, Fred Mukasa naye amekamatwa na polisi kufuata tukio hilo.
 
nchi za africa zina laana ya madaraka.nimesikiliza jana rais mstaafu wa Angola dos santos amejibakizia mamlaka ya kuteua viongozi wakuu wa ulinzi na usalama mpaka afe huku rais mteule joao lorenco akiendelea na majukumu mengine.
 
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Dr. Kizza Besigye, amekamatwa na polisi nchini humo kufuatia sakata la baadhi ya wabunge na wananchi nchini humo kupinga suala la ukomo wa urais.

Bez.jpg

Dr. Besigye amekamatwa leo mchana katika mji mkuu wa nchi hiyo Kampala, ambako alikuwa amekwenda kuhamasisha wafuasi wake dhidi ya kuondolewa kwa Ibara ya 102 (b) ya katiba ya nchi hiyo, ambayo inaweka kikomo cha umri wa urais akiwa na umri wa miaka 75.

Wakati wa tukio hilo Dr. Besigye alikataa kushuka kwenye gari yake alipoamrishwa na polisi, na kuwalazimu polisi hao kuliburuza gari hilo hadi kituo cha polisi na kulipaki, huku Kizza Besigye akiwa ndani ya gari.

Mbali na Dr. Besigye Mjumbe wa Bunge la Afrika Mashariki, Fred Mukasa naye amekamatwa na polisi kufuata tukio hilo.

Sasa sijui chadema watakuwa upande upi wa Museveni au Besigye? Kwa maana Besigye yuko upande wa Upinzani Kenya!
 
Mjadala wa ukomo wa umri wa urais Uganda ungekuwa mwepesi kama Museveni angesema hagombei tena urais.
 
Ama wabunge wa upinzani wawe wengi kuliko chama cha raisi Museveni, kitu ambacho lazima iwe ndoto
 
Sasa sijui chadema watakuwa upande upi wa Museveni au Besigye? Kwa maana Besigye yuko upande wa Upinzani Kenya!
Ngoja nimalize kumgegeda mamako hapa halafu nimwulize alisikiaje kwenye kamati kuu ya CHADEMA hold on please, nitakupa mrejesho !!
 
Huyu Kizza Besigye na Museveni ni Marafiki sana, ila kwa nje wanawachora tu, Na ilikwisha julikana Rais ajae Uganda ni Mtoto wa mseveni ambaye ni Kiongozi wa Jeshi (Moize).

Embuga Ye ssaza Mawokota.
 
Back
Top Bottom