Samahani wamama na madokta malipo huku Naomba kufahamu mwanamke asiekua na kizazi hua anableed maana rafiki angu alitolewakizazi na hua anapata tone la uchafu kwenye Siku zake anapenda Kujua ni kawaida au nitatizo
Ukiondolewa kizazi huwezi kubleed na huyo rafiki yako hujatuambia kama anableed umesema anatoka uchafu. Na kama ni kweli anaona damu aende hospitali haraka kuchekiwa. Kizazi kinaweza kuondolewa ila cervix ikaachwa so bado anakuwa na risk ya kupata cervical cancer ambayo presentation kubwa ni abnormal per vaginal bleeding
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.