Kuondolewa Kizazi

Status
Not open for further replies.

daso

Member
Jun 26, 2017
15
28
Samahani wamama na madokta malipo huku Naomba kufahamu mwanamke asiekua na kizazi hua anableed maana rafiki angu alitolewakizazi na hua anapata tone la uchafu kwenye Siku zake anapenda Kujua ni kawaida au nitatizo
 
Ngoja waje watakusaidia majibu, ila ninavyofahamu mwanamke akitolewa kizazi hawezi pata bleeding ya mwezi
 
Ukiondolewa kizazi huwezi kubleed na huyo rafiki yako hujatuambia kama anableed umesema anatoka uchafu. Na kama ni kweli anaona damu aende hospitali haraka kuchekiwa. Kizazi kinaweza kuondolewa ila cervix ikaachwa so bado anakuwa na risk ya kupata cervical cancer ambayo presentation kubwa ni abnormal per vaginal bleeding
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom