Kizazi cha Wanaume Wahongaji chapotea taratibu, kizazi cha Wanaume bahili chashika chati kwa kasi

Kinapotea sababu wanawake wenye thamani wanapotea pia


Huwezi kuwa busy kuhonga wakati kuna watu wanakula kijinga jinga

Ila ukipata mwanamke mwenye thamani yake kuhonga itakuja automatic tu bila hata kuombwa na mtu unless uwe mchoyo kweli kweli na mbinafsi

Leo hii wanaume wanajisifu kulala na mwanamke bure bure kama ambavyo mwanawake wanakaa salon kujisifu kuwa na mabwana wawili watatu..

Gender war ipo sababu wanaume wamekuwa irresponsible tofauti na zamani,wanawake wameshuka thamani tofauti na zamani..


Wanaume wakiulizwa kwanini hawahudumii wanasema utahudumia wkt wenzako wanakula bure wanawake wakiulizwa why wamekuwa vicheche wanasema wanaume wamekuwa madume suruali wanajaribu jaribu jali kupata mwanaume anayejua kufanya majukumu yake..
Kweli kabisa...
 
Habari wadau

Mimi nakumbuka nilionga sana ada yangu alafu kuirudisha ikawa shida nikauza vitu vyangu vya getto

Nikamaliza chuo nikapata kazi sehemu nikawa nahonga mshara wangu nusu kama fungu la kumi lakini bada ya kuteswa na mahusiano na kugundua kuwa wanawake ni waongo na walafi sikuizi sihongi kabisa ata yakutolea

TAFUTA WAKUSAIDIANA NA SI WAKUMSAIDIA
Cost sharing au sio?
 
Moja ya comment pumba tangu jf ianzishwe,yaan una prove uanamme wako kwa kuhonga!!!!!!!!!!!!
Sasa mwanaume si anatafuta pesa.

Halafu nyinyi kizazi cha sasa hivi mnajijaza ujinga na visngizio kibao.
Embu tafuteni pesa wadogo zangu.
 
Unahonga ukitegemea awe submissive kwako ila anazidi kuwa rebellious.
 
Sasa mwanaume si anatafuta pesa.

Halafu nyinyi kizazi cha sasa hivi mnajijaza ujinga na visngizio kibao.
Embu tafuteni pesa wadogo zangu.
Natafuta pesa sana tu,ila ni zangu kwa matumizi na kutimiza malengo yangu na wewe(msichana/mwanamke) tafuta zako ,maana na wewe una akili,elimu na mikono ya kukuwezesha kutafuta zako....tusileteane ujambazi
 
Natafuta pesa sana tu,ila ni zangu kwa matumizi na kutimiza malengo yangu ...na wewe(msichana/mwanamke) tafuta zako tusileteane ujambazi
Nami natafuta zangu.
Hadi hapa natafuta.
Lakini za kwako lazima nizitumie
 
Mwanaume hutakiwi kujua matumizi ya pesa zangu.
Embu kaa na baba wakubwa wakuelekeze
Okay,na wewe unakua ume offer nini kama hela zangu tu ndo zinatumika kwenye hayo mahusiano


Mimi falsafa yangu ni tumeunganishwa na mapenzi tu,kila mtu asake pesa zake au tufanye cost sharing... sitaki liability za kiboya
 
Okay,na wewe unakua ume offer nini kama hela zangu tu ndo zinatumika kwenye hayo mahusiano


Mimi falsafa yangu ni tumeunganishwa na mapenzi tu,kila mtu asake pesa zake au tufanye cost sharing... sitaki liability za kiboya
Wewe kama hujui mchango wangu kwenye hizo hela zako basi ni msiba.

Kichwa kikitulia sidhani kama utaweza kutafuta hela.

Nani sasa anakituliza hicho kichwa zaidi yangu.

Baba there is no way ukaescape liability.
Majukumu ndo yanayomtofautisha binadamu wa kiume na mnyama wa kiume.
 
Wewe kama hujui mchango wangu kwenye hizo hela zako basi ni msiba.

Kichwa kikitulia sidhani kama utaweza kutafuta hela.

Nani sasa anakituliza hicho kichwa zaidi yangu.

Baba there is no way ukaescape liability.
Majukumu ndo yanayomtofautisha binadamu wa kiume na mnyama wa kiume.
Ha ha haa ,aisee umenichekesha kwamba kichwa unakituliza wewe na hiyo nayotoa ndo consultation fee?vipi na Mimi nikikutuliza utanilipa?


Kuna njia nyingi za kutuliza kichwa ila hiyo ya kwenu hapana..otherwise I will be more calm nkiwa alone kuliko kuwa nawe


Besides ,nna majukumu mengi sana /liability za msingi lakini sio wewe
 
Halafu utakuta mashori wanaowapiga hela mambwigwa hawana lolote, sio wazuri na wala sio maintelligent kivile, sema ni ulofa wa watu flani. Watu wanamega tu kisela wala haina kupanick
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom