Plot4Sale Kiwanja square meter 4800 chenye hati Kiluvya barabarani kinauzwa

mmewadadako

JF-Expert Member
Mar 29, 2019
525
840
-Kiwanja kipo Kiluvya Gogoni mbele ya Kibamba

-Kiwanja kinatazama Morogoro road

-Kina ukubwa wa square meter 4800s

-Kina hatimiliki

-Kinafaa kwa matumizi ya sheli,godown au kiwanda

bei : mil 280 (maongezi yapo )
mawasiliano: 0765494548

NB: Kama tunavyojua stand imehamia mbezi mwisho hivyo shughuli nyingi zitachanganya mitaa hio.Kwa mwekezaji wa sheli hii ni fursa maana kuna sheli chache sana kwenye hio zone.

IMG-20210225-WA0000.jpeg
IMG-20210226-WA0014.jpeg
IMG-20210226-WA0017.jpeg
 
Ni kikubwa sana mkuu chek square meter zake,kina hati lakini pia kinaface barabara.Hiki ni kwa ajili ya investment kubwa

Maongezi yapo mkuu,usihofie hio bei
Aupo serious mkuu, jiridhishe wewe kwanza na bei 280M for 4800 is equivalent to almost 60k/Sqm Kiluvya
 
Mi nauliza tu, manake sina utalaamu wowote. Hivi kwa mfano serikali ikaamua kuwapimia wananchi ardhi kwa ajili ya mashamba. Hivi eneo langu na lenyewe litaandikwa "Plot No. X" au kwavile ni kwa ajili ya shamba eneo litaandikwa, kwa mfano "Farm No. X"?
 
Kama eneo lako ni matumizi ya shamba litaandikwa farm x...
 
Sijui lakini nadhani kwa nyakati hizi hiyo bei ni kubwa kupindukia.Kuna benki inauza nyumba mbili za kisasa( mmoja ina ghorofa mmoja) ziko ndani ya kiwanja kimmoja na zina hati kibamba CCM huu ni mwaka wa 3 hawajapata mnunuzi na bei ni tsh 250,000,000/=.
 
linafaaa mkuu...matumizi yyote ya kibiashara yanafit kwenye eneo iwe ni hotel,sheli,kiwanda,shule,godown au hata yard
Mkuu usiwapotoshe watu. Kiwanja kama kina hati kinakuwa na matumizi tayari. Hiyo huwezi tu kuamua unajenga nini ni lazima ufuate kilichoandikwa kwenye hati. Labda uombe kubadili matumizi ambayo ni process nyingine.
 
Kiwanja kikiwa na hati kwa ajili ya matumizi ya biashara (commercial land uses) basi biashara kadha wa kadha zitacover hapo mfano hotel,sheli nk...

Hati imegawanya matumizi ya ardhi ya ardhi kama ifuatavyo
-Residential
-Commercial
-Transportation and public buildings
-Institution
-Industrial

hivyo kwa kiwanja kama hichi ambacho kwenye commercial land uses class, investment yoyote inayohusiana na biashara utaweza kuifanya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom