Kiwanja/Shamba Kigamboni kinauzwa (Sio alikonunua Bushi) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja/Shamba Kigamboni kinauzwa (Sio alikonunua Bushi)

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Esther Kimario, Jan 5, 2012.

 1. E

  Esther Kimario Member

  #1
  Jan 5, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kiwanja shamba Ekari moja kasoro maeneo karibu na DSM zoo (Kabla hujafika DSM zoo). Si mbali toka kibada. Sehemu inajulikana kama "Kisarawe two". Bei 7,000,000 - Maongezi yapo.

  Mwenye kuona mbali ataelewa kuwa eneo hili ndilo litakuwa karibu na huo mji mpya wa kisasa.... (Kama kweli bushi atakuja..) Na kama hautakuwepo bado unafaida kwamba eneo hili haliko mbali na mji (ni mwendo wa dk 25-30 kutoka feri). So kwa mfanyakazi una uhakika wa kufika posta ndani ya dk 45!:A S 465:

  Mwenye uhitaji ani PM
   
 2. Mrbwire

  Mrbwire Senior Member

  #2
  Jan 5, 2012
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 197
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Nitakutafuta; Maji na umeme vinapatikana? Na je kiwanja kinafikika kwa gari?
   
 3. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #3
  Jan 5, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kigamboni kama kweli watajenga daraja itakuwa hot cake, lakini kwa hii nauli ya magufuli it's chaotic.
   
 4. Mrbwire

  Mrbwire Senior Member

  #4
  Jan 5, 2012
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 197
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Usemacho ni kweli! The place will soon be a hot cake... tatizo muuzaji bei yake inaongeleka kidogo sana. Esther; fikiria kuhusu PM yangu ya pili kama itakuwa ok mi nije tumalize biashara. Au huna nia ya kuuza?
   
Loading...