Kiwanja Sehemu Nzuri yenye kufikika kiurahisi

Ongeza 1.5Mil nikuuzie plot ya heka moja Mlandizi.....
 
Maji wataka wewe, umeme wataka wewe, kiwanja kizuri wataka wewe, panapofikika na gari wataka wewe. Hela yenyewe eti Milion 2. Nenda chanika kanunue shamba....
 
Mkuu tuwacliane .kipo kiwanja chanika na gari linafika na kuna umeme .na hauitaji kununua mchanga .shimo la choo ndiyo mchanga wa kujengea .tuwacliane 0713 95 92 90
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom