Kiwanja salasala kinzudi karibu na shule ya rightway | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja salasala kinzudi karibu na shule ya rightway

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Revolution, Nov 21, 2011.

 1. Revolution

  Revolution JF-Expert Member

  #1
  Nov 21, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 565
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  Wadau ninauza kiwanja ninachokimiliki maeneo ya salasala kinzudi karibu na shule ya rightway ni 25*25 ni unsurveyed umbali kutoka barabara kuu ya bagamoyo road ni kama kilomita nne (4) na kuna lami halfway. Bei ni milioni 10 ila maongezi yapo. Namba yangu ya mkononi ni 0755 55 14 59. Email address ni hasan2181981@yahoo.co.uk. Site visit ni siku zote ila Jumatatu hadi Ijumaa ni kuanzia saa kumi jioni. Kwa maongezi zaidi tafadhali ni PM.
   
 2. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #2
  Nov 21, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Niliacha siku nyingi kufanya vitu vya kubahatisha, tatizo la viwanja ambavyo ni unsurveyed ni kwamba siku pakiwa surveyed unaweza kujikuta upo katikati ya barabara hivyo ufidiwe ili uondoke na michakato ya kufidiana nadhani kila mtu anaifahamu maana unaweza kujikuta unaadhibiwa na mahakama kwasababu hukutii amri halali ya polisi, na kama hapatakuja kufanyiwa survey lazima ukubali kuishi uswazi. Najaribu kubreinstom
   
 3. Revolution

  Revolution JF-Expert Member

  #3
  Nov 21, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 565
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  Mosi, kama ukikubali na kama utakuwa na muda nipo tayari kukupeleka kwa gharama zangu ili uje uwadhibitishie wadau wengine kuwa eneo hilo sio uswazi (majirani wengi wameshapaendeleza na baadhi yao wamejenga magorofa)

  Pili, ni kweli ni unsurveyed area..lakini watu wengi wananunua maeneo hayo na hawapati matatizo kama utafuata utaratibu, labda nikueleze tu na kwa faida ya wengine unaweza ukaenda kwenye vyombo husika(halmashauri ya manispaa au wizarani) na ukajua eneo husika kama ni sawa kwa maendeleo ya makazi au la! Pia bei za maeneo ya unsurveyed ni nafuu kuliko surveyed areas hivyo ukifuata utaratibu inakuwa ni rahisi kwasababu kutransform ni rahisi.

  Tatu, kuna tendency ya baadhi ya wanaJF wanapoona tangazo haswa yale ya kibiashara basi kazi zao huwa ni kuponda na kutoa unconstructive ideas.
   
 4. Sokwe Mjanja

  Sokwe Mjanja JF-Expert Member

  #4
  Nov 21, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kiongozi unaingilia wapi kufika Kinzudi, unaingilia barabara ya Mboma pale au ni kwa wapi exactly? Nimekuwa interested
   
 5. Revolution

  Revolution JF-Expert Member

  #5
  Nov 21, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 565
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  Sokwe Mjanja, unaingilia pale mbele ya mboma kuna lami inaingia kushoto ambayo inaishia somewhere kwenye mnara wa voda, pia unaweza kupitia pale makonde ila ile barabara sio nzuri lakini pale ni karibu zaidi.
   
 6. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #6
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  kule ni pazuri sana hata mm nina plot nzuri sana ya 50 by 50. karibuni sana tupaendeleze kinzudi.
   
Loading...