Kiwanja mwanza

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,238
Kiwanja kinauzwa mwanza,bwiru press.
Kina ukubwa wa ekari moja,..
kiko mita 50 kutoka ziwani.
Bei yake ni mil 55 kwa sasa.
Ni PM kwa maelezo zaidi au piga
0788 009 002

Karibu
 
khaaaa...
asante kwa taarifa mana nilivofungua kwa upesi duh!!

swali
1.kimepimwa hakijapimwa
2.barabara je (mana mwz ni milima na mawe)
3.maji je
 
Kama ni mita 55 toka ziwani, napata wasiwasi na uhalali wa kiwanja chenyewe. Nadhani kiko kwenye hifadhi ya ziwa!
 
khaaaa...
asante kwa taarifa mana nilivofungua kwa upesi duh!!

swali
1.kimepimwa hakijapimwa
2.barabara je (mana mwz ni milima na mawe)
3.maji je

Hakina tatizo hata moja.
Kime nunuliwa 2002,upatikanaji wa maji sio tatizo kabisa na hakiko mlimani.
 
khaaaa...
asante kwa taarifa mana nilivofungua kwa upesi duh!!

swali
1.kimepimwa hakijapimwa
2.barabara je (mana mwz ni milima na mawe)
3.maji je

Hakina tatizo hata moja.
Kime nunuliwa 2002,upatikanaji wa maji sio tatizo kabisa na hakiko mlimani.
 
Vuta subira mkuu utapata mtu serious, baadhi ya members humu wanatamani wamiliki ardhi lakini hawana pesa....na hivyo wataishia kutafuta visababu vidogo vidogo ili mradi tu aongeze idadi ya posts. Serious buyer atakutafuta kupitia mawasiliano uliyoyatoa, then mtashirikiana nae kuanzia ngazi ya kijiji, manispaa ya jiji au hadi wizarani kufanya search na ku-verify title deeds kama zipo genuine. Huo ndo utaratibu unaofahamika, lakini utakuta mtu mwingine anauliza mambo ya kukupotezea wakati huku anajua hana uwezo wa kununua.
Kiwanja kinauzwa mwanza,bwiru press.
Kina ukubwa wa ekari moja,..
kiko mita 50 kutoka ziwani.
Bei yake ni mil 55 kwa sasa.
Ni PM kwa maelezo zaidi au piga
0788 009 002

Karibu
 
Kuna taratibu ambazo wakati mwingine zinakiukwa kwa sababu ya udhaifu wa watawala ktk eneo husika, kwa mfano unaponunua shamba lililo kando ya mto, kuna umbali wa kuacha toka kingo za mto mpaka shambani kwako, kutoka mwisho wa maji ya bahari kuna uwazi ambao ni lazima uachwe mpaka linapoanzia eneo la kujenga cho chote, hivyo hivyo ktk pwani za ziwa.

Ni juu ya wewe mnunuzi kuuliza kanuni hii kwa wahusika, watakapokuja watawala wanaomaanisha, unajikuta unapata hasara kubwa kama ilivyo kwa Dsm kwa sasa. Kwa hiyo viwanja vya karibu na beach, au karibu na barabara kuu,milimani,mabondeni au maeneo ya umma, tununue baada ya kuziona sheria mama za mipango miji za eneo husika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom