Kiwanja milioni 1.5

Mar 16, 2014
25
3
Hakijapimwa,kiko karibu na barabara kuu,pia karibu na kituo cha daladala,unaweza jenga nyumba kubwa bila matatizo,kimoja kina upana wa mita 25 na kingine mita 37,gari mpaka uwanjani,kiko eneo la Mvuti,unaweza pita njia ya chanika au mbagala,ni eneo tambalale na kuna majirani,bei haina maongezi wala sihitaji dalali.

Tel: 0656 33 50 33 / 0687 97 87 51
 
tambalale = tambarare
Hakijapimwa,kina umbo la pembe tatu,kiko karibu na barabara kuu,pia karibu na kituo cha daladala,unaweza jenga nyumba kubwa bila matatizo,gari mpaka uwanjani,kiko eneo la Mvuti,unaweza pita njia ya chanika au mbagala,ni eneo tambalale na kuna majirani,bei haina maongezi wala sihitaji dalali.

Eneo la Pembetatu
= 1/2 x Kimo x Kitako.

Ila hapa urefu wa kimo inabidi ufanye 90° na kitako.
 
Nina kiwanja karibu na barabara kuu,kiko pia karibu na kituo cha daladala,gari linafika mpaka uwanjani,eneo zuri sana,pameshajengeka maeneo ya Mvuti,kina ukubwa wa kutosha kujenga nyumba kubwa bila tatizo,mapana ni mita 25 na kingine mita 37,kufika unaweza pita njia ya mbagala mpaka mvuti au ya gongo la mboto mpaka mvuti,hakiko kwenye hifadhi ya barabara.Angalia attachment.

Mawasiliano: 0656 335033 / 0687 978751
 
Attachments

  • 010.JPG
    010.JPG
    898.2 KB · Views: 152
Katika manunuzi siku zote fuata utaratibu,kuanzia kwa wajumbe,serikali ya mtaa,majirani etc,ili ujiridhishe kabla ya kutoa pesa,kwa swali lako karatasi halali zote zipo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom