Plot4Sale Kiwanja Mbezi beach (Tangibovu) for sale

mfetere

JF-Expert Member
Feb 27, 2014
246
88
Habari wana Jf kuna jirani yangu Mbezi beach upande wa Kushoto kama unaenda Tegeta na eneo liko tambalare amekata eneo lake kipande cha square meter 840 muuzaji nae yuko hapo hapo eneo lote lina hati miliki halali kwa muhitaji serious njoo inbox au piga simu 0714787795 kwa maswali zaidi piga cm na picha​

IMG_6847.jpg
 
Hata ingekuwa ni family house bado hiyo bei ni kubwa sana kwa nyakati hizi sembuse kwa kiwanja pekee bila nyumba?!

Madalali wengine Ndiyo wenye kuharibu biashara kwa kuongeza bei ya vitu maradufu!
 
Bei ni mil 70 njoo uone Kiwanja ukae kitako mfike mwafaka kama upo seriously
 
Hilo eneo si industrial area , nasikia ukitokea mwenge hadi afrikana pale Rafiia bags, upande uho wa kushoto wote ni industrial area sio makazi
 
Iyo bei iko wapi mbona kila mtu anasema bei kubwa kubwa wakati sijaona mimi au imejificha kwenye sq 840?
 
Habari wana Jf kuna jirani yangu Mbezi beach upande wa Kushoto kama unaenda Tegeta na eneo liko tambalare amekata eneo lake kipande cha square meter 840 muuzaji nae yuko hapo hapo eneo lote lina hati miliki halali kwa muhitaji serious njoo inbox au piga simu 0714787795 kwa maswali zaidi piga cm na picha​
Huu sasa ni UTAPELI wa viwanja umerudi kwa kasi

Unaweza kukata kiwanja chako kukiuza halafu ukasema hicho kipande kina hati ?????
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom