BabaC
Member
- May 21, 2013
- 94
- 60
Kwani wewe kujenga na ukamiliki biashara za thamani ya mabilioni kuna shida gani, ama lazima ukopi kwa Wahindi?Hivi mbona Wahindi hawaangaikagi na mambo ya viwanja/kujenga nyumba za kuishi ila wanamiliki biashara za maana (za thamani ya Mabiloni)? Tunakwama wapi?