Kiwanja kingine kinauzwa mbande dar es salaam karibu kabisa na azam fc complex chamanzi

njechere

Member
Nov 7, 2013
14
0
kuna kiwanja kingine kinauzwa karibu na azam
complex.kiwanja kipo kwenye mtaa unaopitika na
gari hadi kiwanjani, huduma zote muhimu zipo
umeme ,maji, kiwanja kina ukubwa wa mita 20 kwa
20 kwa mtu anayeijua mita vizuri ameshanielewa.
Bei ni sh milioni 13 maongezi yapo. Kwa mawasiliano wasiliana nami 0716822166 au
0783298957 wahi uje kukiona.
 
Pole... Ntakupatia 3.5 fasta hapa
 
20 kwa 20 Mbagala then kinauzwa million 13 hata kama maongezi yapo kwa Mbagala tena Chamanzi 13 Millions tena uwanja wenyewe ni 20 kwa 20 ndugu dalali umeanzia mbali sana acha tamaa, yaani hata kama kingekuwa kimepimwa na Manispaa wakishirikiana na Wizara ya Ardhi kwa bei hiyo Mbagala tena huko Chamanzi ukipata mteja njoo nikupe zawadi
 
Back
Top Bottom