Kiwanja kinauzwa

GNA

JF-Expert Member
Dec 28, 2012
246
72
kiwanja kikubwa kinauzwa hatua 40 za miguu kwamwendo wa kawaida wa kutembea, kutoka barabara kuu(main road). Kipo vikindu Dar es salaam, bei ni Tsh.35 million, kwa maelezo zaidi piga namba hizi uongee na muhusika mwenyewe, 0716239212. Karibu sana.
 
Uffffffs, kumbe macho yangu yana makengeza. Unamaanisha acre 40 na kiko mtaa wa Mindu ndiyo maana kinauzwa mil. 35 siyo?
 
Kiwanja mm nauzwa kwa bei poa na kipo mbezi juu sehemu ya maramba mawili? Namba za mawiliano ni 0717081592
 
kiwanja kiko maeneo ya VIANZI njia ya kwenda malale.Hatua 40 Kwa 30.kiko karibu na barabara.0713649555
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom