Kiwanja kinauzwa.

Eberhard

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
1,120
757
Jamani ninauza kiwanja chenye ukubwa wa nusu heka. Kipo kigamboni. Kijijini: Mwasonga. Near to Dar es salaam zoo. Kuna shule ya primary, secondary na zahanati. Mtu atakayetaka kuchukua ni lazima ajue eneo Hilo liko mbali kidogo na mji. Usafiri wa kufika huko upo tena mzuri. Ni sehemu ambayo kwa sasa inaanza kujengwa kwa kasi. Bei 7.5 M. Tuwasiliane.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom