Ngoja amalize kwanza ununuzi wa Majumba yale.Dkt.Luis
Tshs 68,000,000/Sqm 1,145Kiwanja kinauzwa Tabata Kinyerezi
Ukubwa wa eneo 1145 square meter
Bei Tsh 68 milion
View attachment 627794
Call 0753717479
Huko kinyerezi hakumfai dk shikaNgoja amalize kwanza ununuzi wa Majumba yale.
Tshs 68,000,000/Sqm 1,145
=Tshs 59,388.64 kwa Sqm 1
Halafu unaweza kukuta kwa bei hiyo na hakina hati ya Wizara (title deed)Jamaa ana utani sio wa nchi hii. Anyways, let's wait for Dr Luis.