Ajira Tanzania
Member
- Feb 8, 2017
- 79
- 27
Sawa mkuuSiku hizi Neluka sekondari inaitwa jina la kiislamu
Tunasubiri tulipwe hela za makinikia mkuu tunaomba uvute subira hali ni mbayaSawa mkuu
Kwa nini?Umeudhika?
Ndio mkuukumepimwa kweli huko??
Hizo bei za JK error mkuu, hiyo 70 acha kuota ndoto za mbinguni ilihal huwez fika huko had upitie mauti kwanza, kwa taarifa yako viwanja na nyumba ni vingi mnooo vinavyouzwa kwa sasa hata sijui kwa nnWakuu aunza kiwanja changu kipo mtoni kijichi , dakika 15 kutoka shule ya neluka.
Kiwanja kikubwa, njoo ujionee mwenyewe, bei milion 70
Acha kupanik mkuu..hii ni biasharaHizo bei za JK error mkuu, hiyo 70 acha kuota ndoto za mbinguni ilihal huwez fika huko had upitie mauti kwanza, kwa taarifa yako viwanja na nyumba ni vingi mnooo vinavyouzwa kwa sasa hata sijui kwa nn
Duuh pole yake aiseee, najua watu walivyo na wakat mgumu kwa sasa, hasa mikopo na biashara hazitokiMhh kwa usawa huu!, kuna shemeji yangu alikuwa na eneo lake huko Tegeta alikuwa anauza Mil 50, kuna jamaa alifika mil45 akakataa ilikuwa enzi ya JK, kwa sasa kashusha bei mpaka mil 20, hakuna mtu, alichukua mkopo, na benk wanatishia kuchukua kibanda chake...
Ndio na iki kiwanja kipo pale kontena wanauza kitimotoSiku hizi Neluka sekondari inaitwa jina la kiislamu
Hahaaa ni kweli ila biashara nzuri ni ile i.ayokaribiana na realistic..otherwise unataka tu kutambulisha kiwanja basi.Acha kupanik mkuu..hii ni biashara
Million 70 mtoni kijichi!!? Kiwanja tuu? Na Masaki, mbweni, ununio watauzaje?Hizo bei za JK error mkuu, hiyo 70 acha kuota ndoto za mbinguni ilihal huwez fika huko had upitie mauti kwanza, kwa taarifa yako viwanja na nyumba ni vingi mnooo vinavyouzwa kwa sasa hata sijui kwa nn
Acha auze mkuu, anadhan zile za oooh hapa panafaa shely sijui, hazipo tena! Hiyo kijichi ndio viwanja cheap kweli kweli toka warab wasumbuliwe madawa ya kulevya na kuswekwa ndani waje zao wanauza viwanja bei chee sana ili kuwakomboa waume zao!Million 70 mtoni kijichi!!? Kiwanja tuu? Na Masaki, mbweni, ununio watauzaje?
Ni balaa, na wengi wao walichukua mikopo bank, a kila kukicha mabank wanauza majumba ya watu walioshindwa kulipa mikopo, biashara haziendi...yaani hiyo Mil 70 anapata nyumba nzuri tena isiyohitaji matengenezo yeyote...Duuh pole yake aiseee, najua watu walivyo na wakat mgumu kwa sasa, hasa mikopo na biashara hazitoki