KIWANJA KINAUZWA

Feb 8, 2017
79
27
Kiwanja
 
Attachments

  • kiwanja.jpeg
    kiwanja.jpeg
    87.8 KB · Views: 52
Mhh kwa usawa huu!, kuna shemeji yangu alikuwa na eneo lake huko Tegeta alikuwa anauza Mil 50, kuna jamaa alifika mil45 akakataa ilikuwa enzi ya JK, kwa sasa kashusha bei mpaka mil 20, hakuna mtu, alichukua mkopo, na benk wanatishia kuchukua kibanda chake...
 
Wakuu aunza kiwanja changu kipo mtoni kijichi , dakika 15 kutoka shule ya neluka.
Kiwanja kikubwa, njoo ujionee mwenyewe, bei milion 70
Hizo bei za JK error mkuu, hiyo 70 acha kuota ndoto za mbinguni ilihal huwez fika huko had upitie mauti kwanza, kwa taarifa yako viwanja na nyumba ni vingi mnooo vinavyouzwa kwa sasa hata sijui kwa nn
 
Acha kupanik mkuu..hii ni biashara
 
Mhh kwa usawa huu!, kuna shemeji yangu alikuwa na eneo lake huko Tegeta alikuwa anauza Mil 50, kuna jamaa alifika mil45 akakataa ilikuwa enzi ya JK, kwa sasa kashusha bei mpaka mil 20, hakuna mtu, alichukua mkopo, na benk wanatishia kuchukua kibanda chake...
Duuh pole yake aiseee, najua watu walivyo na wakat mgumu kwa sasa, hasa mikopo na biashara hazitoki
 
Hizo bei za JK error mkuu, hiyo 70 acha kuota ndoto za mbinguni ilihal huwez fika huko had upitie mauti kwanza, kwa taarifa yako viwanja na nyumba ni vingi mnooo vinavyouzwa kwa sasa hata sijui kwa nn
Million 70 mtoni kijichi!!? Kiwanja tuu? Na Masaki, mbweni, ununio watauzaje?
 
Acha auze mkuu, anadhan zile za oooh hapa panafaa shely sijui, hazipo tena! Hiyo kijichi ndio viwanja cheap kweli kweli toka warab wasumbuliwe madawa ya kulevya na kuswekwa ndani waje zao wanauza viwanja bei chee sana ili kuwakomboa waume zao!
 
Duuh pole yake aiseee, najua watu walivyo na wakat mgumu kwa sasa, hasa mikopo na biashara hazitoki
Ni balaa, na wengi wao walichukua mikopo bank, a kila kukicha mabank wanauza majumba ya watu walioshindwa kulipa mikopo, biashara haziendi...yaani hiyo Mil 70 anapata nyumba nzuri tena isiyohitaji matengenezo yeyote...
 
Na mimi pia nauza. Kipo Chanika mwisho eneo linaloitwa Gogo minazi mirefu.
Urefu ni meter 42, upana meter 25. Gari inafika na imezungukwa na fensi za ukuta mbili za majirani.
Bei ni million 8. Karibuni pm tufanye biashara.

Pia nimepata wazo mbadala la kukigawa hichi kiwanja Mara mbili yaani 21 kwa 25 na kuuza 4,500,000.
So kwa atakaevutiwa anaweza kuchagua kununua chote kwa 8m au nusu kwa bei niliyotaja hapo juu. Karibuni sana wadau
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom