Kiwanja kinauzwa vikindu magogo matatu

Apr 29, 2017
7
1
Habari za jioni wakuu.kuna kiwanja kinauzwa mita50kwa 50 eneo LA vikingu magogo matatu kiko sehem nzuri kuna makazi ya watu wanajenga na wanaishi hakiko mbali na barabara kwa MTU anayehitaji kukikagua anakaribishwa,bei ni tsh milioni tatu tu.karibuni.0744220366kwa mawasiliano zaidi na ukaguzi.kuhusu picha nimeshindwa kuaproad but kwenye uhitaji tuwasiliane zaidi.
 
mkanganyiko ni Vikindu au Vikingu?
 
Huko ni karibu sana na eneo la jamhuri ya kidemokrasia ya watu wa Kibiti......
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom