Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Njiro karibu na barabara ya Lemara

Iziwari

Member
Jun 5, 2021
76
56
Kiwanja kinauzwa njiro karibu kabisa na barabara ya lemara.

Kwa wale wanaojua kanisa la KKKT Lemara ndio hapo hapo karibu. kabla haujafika kikwakwaru stendi.
Kiwanja ni 30 kwa 15.

kina msingi ndani ambao ni ramani ya nyumba.

ukitaka kuendeleza sawa. Kuna mawe na mchanga pia uliobaki.

Ni mwenye kiwanja alitaka kujenga ila akahairisha akaona auze kiwanja.

Bei mil 23, kiwanja ni kikubwa na mwenye nacho katoa offer hiyo mpaka August mwezi wa 8.

Atakae wahi kabla ya mwezi wa nane au mapema zaidi kuna punguzo la mil 1 pia.

Piga namba 0756431032 kupata maelekezo na kufikishwa kihalali kabisa.

Hatuna madalali na wote tunaotangaza kiwanja hiki ni ndugu ..hakiruhusiwi kutangazwa na mtu mwingine.
Karibu upate kiwanja chako njiro leo.

Photo from Israel Ngowi.jpg
 
Hawako vizuri kibiashara hawa jamaa kama uko mbali, nilitaka kununua shamba kupitia kwao, nikaomba wanitumie picha kwa w/app wakawa wanajizungusha zungusha tu; baadaye nikaachana nao.
Ni waaminifu tu mkuu.

Ila wenyeji wa arusha wanawaamini kozi wanawapa kitu kulingana na mfuko wako japo wanapigwa ipasavyo na kwa nje huwezi kuona hili.

I mean 10x10 shs 600kl ambapo ingekuwa serikali nadhani ni 15x15.
 
Kiwanja kimepimwa?

Kama hakijapimwa, barabara ya gari kufika mpaka kwenye kiwanja hipo?

Alafu hao ndio majirani wa hicho kiwanja, mbona uswahilini sana.
 
Kiwanja kinauzwa njiro karibu kabisa na barabara ya lemara.

Kwa wale wanaojua kanisa la kkkt lemara ndio hapo hapo karibu. kabla haujafika kikwakwaru stendi.
Kiwanja ni 30 kwa 15.

kina msingi ndani ambao ni ramani ya nyumba.

ukitaka kuendeleza sawa. kuna mawe na mchanga pia uliobaki.

Ni mwenye kiwanja alitaka kujenga ila akahairisha akaona auze kiwanja.

Bei mil 23 ...kiwanja ni kikubwa na mwenye nacho katoa offer hiyo mpaka August mwezi wa 8.

Atakae wahi kabla ya mwezi wa nane au mapema zaidi kuna punguzo la mil 1 pia.

Piga namba 0756431032 kupata maelekezo na kufikishwa kihalali kabisa.

Hatuna madalali na wote tunaotangaza kiwanja hiki ni ndugu ..hakiruhusiwi kutangazwa na mtu mwingine.
Karibu upate kiwanja chako njiro leo.

View attachment 2198254
Mkuu unaweza kupost location?
Namaanisha coordinates kwa kutumia simu ili tuangalie google earth.
Ikiwezekana kona zote nne.
 
Do, ndiyo maana wanazidi kuneemeka mpaka wanaoa wake wawili, watatu ahahahaaa...

Kweli huo ni ujambazi, ila chuga wanasema ni msaada kwao.
 
Kuna watu huwa wanangangania kununua maviwanja ya garama kubwa eti peime area , mwisho wa siku kinakuwa siyo productive lakini mwezanzako anatumia ela hiyo anaenda kununua shamba makazi ambalo anaweza kuzalisha kwa shughuli za uchumi
 
Back
Top Bottom