Kiwanja kinauzwa Mtwara katikati ya mji 1022sqm hati iko mkononi.

<< Kwa shangani , chuno ,kambarage yoooooote viwanja vilikuwa juuuuuuuuu sana enzi za jk ila sasa MTWARA ya MAGU kiwanja Unapata bei kuuubwa ni mil.KUMI sehemu nzuri yenye hewa kama magomeni, ufukoni ,>>>nk PUNGUZA BEI soooomo million 200 hakuna atakae nunua hapo >>WACHINA na WAZUNGU hawapo wako LINDI huko
Nimekusoma ndg.
 
Ambao hamjafika mtwara ni Halali kubishia hiyo bei ila kwa tunaojua mtwara ilivyo sasa hiyo bei ni sawa kulingana na eneo lenyewe
 
MKUU ULIKOSEA TIMING YA KUUZA HICHO KIWANJA CHAKO.KWA USAWA HUU,HEBU JARIBU KAMA UNATANIA BAADAYE USEME UNAKIUZA MIL 350.HATA HAPO KUPATA MTEJA ITABIDI PIA USUBIRI SAANA TU.INGEKUWA ENZI ZA MKWERE SAWA.
 
Daah kweli kabisa yaani kipindi kile cha kilele cha utafutaji wa gesi Mtwara maisha yalipanda sana.Wenye nyumba zao walipandisha KODI na hii ilipelekea watu wengi kuukimbia Mji na kwenda kuanzisha makazi yasiyo rasmi kando ya Mji.Kuna kiwanja kiliuzwa kwa bilioni moja.
Wakati unakula wakati.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom