Kiwanja kinauzwa msongola Kigamboni.

bububu1

Member
Jan 16, 2016
80
47
Kiwanja kinauzwa msongola Dar es salaam, kipo sehemu nzuri, kwenye huduma zote kama maji,umeme nk. gari inafika mpaka kiwanja kilipo na bei yake ni nzuri million 3.5 ukubwa miguu 50 Kwa 50 pande zote Kwa mwenye kuhitaji tafadhali wasiliana na mimi Kwa no:0682562162
 
msongola sehemu gani, pia ni vema utupe kipimo cha mita ambacho ni rasmi na nichakisayansi.
 
Kiwanja kinauzwa msongola Dar es salaam, kipo sehemu nzuri, kwenye huduma zote kama maji,umeme nk. gari inafika mpaka kiwanja kilipo na bei yake ni nzuri million 3.5 ukubwa miguu 50 Kwa 50 pande zote Kwa mwenye kuhitaji tafadhali wasiliana na mimi Kwa no:0682562162
mSongola ipo Kigamboni ipi?
 
Kiwanja kinauzwa msongola Dar es salaam, kipo sehemu nzuri, kwenye huduma zote kama maji,umeme nk. gari inafika mpaka kiwanja kilipo na bei yake ni nzuri million 3.5 ukubwa miguu 50 Kwa 50 pande zote Kwa mwenye kuhitaji tafadhali wasiliana na mimi Kwa no:0682562162
WAUZAJI WA VIWANJA SIJUI WAKOJE,NANI ALIKWAMBIA VIPIMO VYA KIWANJA NI MIGUU? KUNA MIGUU YA HASHEEM THABIT NA EMORO,SASA HUYO ALIYEPIMA MIGUU ANA HATUA ZA SIZE GANI? AU UTAKUTA ANAKWAMBIA KIWANJA KIPO KIKUBWA UNATOA HATA NYUMBA YA VYUMBA VINNE,SASA VYUMBA VINNE KWA VIPIMO GANI? KUNA MWINGINE SEBULE KAMA UWANJA WA TAIFA,MASTER NI 6M KWA 8M,UKIMWAMBIA HIVYO ATAKUELEWA? KWANINI MSIWE MNATOA STANDARD KWAMBA KIWANJA KINA UREFU WA MITA KADHAA NA UPANA WA MITA KADHAA?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom