Kiwanja kinauzwa kipo KIBADA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja kinauzwa kipo KIBADA

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Manezra, Sep 29, 2011.

 1. Manezra

  Manezra Member

  #1
  Sep 29, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Kiwanja kinauzwa kipo KIBADA, Block No.7, Plot No.124, ukubwa ni Square mita 4561. Kipo kilomita 2.5 kutoka Kivukoni. Bei ya kiwanja hiki ni Shilingi za kitanzania milioni 95 na kina hati ya miaka 99.

  Mawasiliano;
  mobile: 0713-518549
  e-mail: manezra2003@yahoo.co.uk
   
 2. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Umekosea kuandika bei ama??
   
 3. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2011
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135

  Wasiliana na MAFISADI.. Nina uhakika humu hakuna.....
   
 4. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,827
  Likes Received: 930
  Trophy Points: 280
  Hizi pesa za ufisadi zimeharibu hii nchi kabisa...yani mtu anakuja anajisemea tu anavyohisi yeye na mpenzi wake huko!!! hii nini sasa nchi iko ovyo ovyo tu..95 mil si bora nkununulie akina mama vitanda wasilale 5 kwenye vitanda pale temeke hospt kama ninazo!!
   
 5. V

  Vakwavwe JF-Expert Member

  #5
  Sep 29, 2011
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  bei hizi mmmh!
  mwingine nimesikia anauza nyumba ya kawaida sana kule GOBA mil 100! wakati k'nyama nyumbazinauzwa mil 50
  kwa nini watu wanatamka mibei ya ajabu ajabu hivyo???
   
 6. gmosha48

  gmosha48 JF-Expert Member

  #6
  Sep 29, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,956
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Mkuu, Sio tu kakosea bei ila hata huo umbali wa kutoka kivukoni kakosea vilevile. Kutoka kivukoni hadi mji mwema tayari inazidi km 4. Iweje kibada ambayo ni mbali zaidi kutoka kivukoni iwe km2.5???
   
 7. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #7
  Sep 29, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,105
  Likes Received: 7,363
  Trophy Points: 280
  Jumapili iliyopita nlikwenda kuangalia kiwanja maeneo ya Kibada,
  Kuvuka feri tu nika-zero kwenye "saa" ya umbali pale kwenye dashboard,
  Sikumbuki vizuri, but Mjimwema ilikua kama 7.8 hivi wakati Mjimwema to Kibada ilikua 3.8,
  Jumla 11.6Km,
  Hizo zako za wapi?
   
 8. DullyM

  DullyM Member

  #8
  Sep 30, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Bwana Shark umenena ndivyo!! hizo ndio Km za kutoka kivukoni kuelekea mjimwema na kibada!! hizo zingine labda wamepima kwa rula ;-)
   
 9. m

  mama cha Senior Member

  #9
  Oct 1, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwenye kutaka kiwanja mimi nauza kuanzia nusu eka sh 5mil na eka ni 10mil lipo lugwadu kama unaenda kongowe unashuka mwembe mtengu km 4 ndani cal me 0712769766
   
 10. u

  ureni JF-Expert Member

  #10
  Oct 2, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,272
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Bei yako iko juu sana manake unauza square mita moja ni zaidi ya shiling elfu 20, bei ya serikali square mita moja ni shilingi elfu 6 kwa hiyo mkuu hicho kiwanja umeweka zaidi ya mara tatu ya bei ya serikali.iko juu
   
 11. Manezra

  Manezra Member

  #11
  Oct 3, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  hapana hiyo ndo bei yake, but it's negotiable
   
 12. Manezra

  Manezra Member

  #12
  Oct 3, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Kama wewe hauhitaji wenzako wanaweza kuhitaji, so unaweza kukaa kimya tu kuliko kuchangia mashudu. Kiwanja ni changu na nina kiuza, niambie wapi kuna sheria ya kunizuia kuuza kiwanja changu, au ufisadi upo wapi hapa?! we unajua mi nilikinunua kwa shilingi ngapi?! Mtu mzima unatia aibu ukiropoka. Be wise.
   
 13. Manezra

  Manezra Member

  #13
  Oct 3, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  kumbuka kuwa mimi siyo serikali, hata hivyo hiyo bei ni negotiable, kama mtu anahitaji anaweza ku-negotiate. so uanakaribishwa if u r in need to bargain.
   
 14. Qulfayaqul

  Qulfayaqul JF-Expert Member

  #14
  Oct 3, 2011
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 471
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  acha kiburi mwenye uwezo wa kuuza ardhi ni serikali pekee ongea vizuri na wenye pesa juwa unauza mali ya serikali
   
 15. K

  Kifimbocheza JF-Expert Member

  #15
  Oct 3, 2011
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 496
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Mil 95?

  Nenda kamuuzie Riziwani au Kinje
   
 16. Manezra

  Manezra Member

  #16
  Oct 5, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Ni kweli nilikosea, kiwanja hichi kipo kilomita 13 kutoka kigamboni
   
 17. Obi

  Obi JF-Expert Member

  #17
  Oct 5, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 376
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ulikosea au ulisema uongo? Hili ndio tatizo la watanzania wengi kutokuwa wakweli. Kwani ukiwa mkweli utapungukiwa nini?
   
 18. Mizizi

  Mizizi JF-Expert Member

  #18
  Oct 5, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,266
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  sema na bei ulikosea basi!
  Mimi nina viwanja viwili hapo, ninauza mil 13 kila kimoja, niliuza kingine january mil 9. Ni kweli viwanja vinapanda sana hapo ila si kwa staili hiyo!
   
 19. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #19
  Oct 5, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Kazi ipo,kiwanja au nyumba?
   
 20. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #20
  Oct 5, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,098
  Likes Received: 6,562
  Trophy Points: 280
  muuzie RA akifichame huko.
   
Loading...