Kiwanja kinauzwa kipo bunju a. Kina sqm 1000 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja kinauzwa kipo bunju a. Kina sqm 1000

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Akiri, Jul 27, 2012.

 1. A

  Akiri JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,453
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Ni kiwanja kizuri kipo pembeni ya barabara kwa mujibu wa ramani. kipo eneo la Bunju A wilaya ya kinondoni. kina sqm 1,000 kimepimwa na kina hati. tunahitaji mnunuzi wa haraka bei powa ni Tsh 13,000,0000. mazungumzo hamna. kipo tambalale kwa kweli ni kizuri na bei nzuri. kwa anayetaka kukiona na kununua tuwasiliane 0778 625039 Akiri.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Sq 1000? How? 50m kwa 20m au 25m kwa 40m au 33m kwa 30m au vipimo vp?
   
 3. A

  Akiri JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,453
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  ndugu yangu viwanja vinapimwa kwa sqm hiyo ni robo heka sifahamu kuhusu hivyo vipimo ulivyoviweka. heka moja ni sqm 4040. hicho ni 30m x 35m. sina hakika sana.
   
 4. A

  Akiri JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,453
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Bunju A. viwanja vingi vimepimwa na nyumba za kisasa zinajengwa .
   
 5. A

  Akiri JF-Expert Member

  #5
  Jul 30, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,453
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  kiwanja bado kipo . inahitajika pesa ya haraka ndiyo maana kinauzwa bei powa . sqm 1000 na kina hati tayari kwa 13m.
   
 6. A

  Akiri JF-Expert Member

  #6
  Jul 30, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,453
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  kiwanja bado kipo wajameni
   
 7. W

  Wenger JF-Expert Member

  #7
  Jul 31, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 448
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 60
  Kipo umbali wa km. ngapi toka main road?

   
Loading...