Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kinyerezi

Mamap_emir

New Member
Jan 5, 2021
4
0
Nauza kiwanja
Kipo kinyerezi karibu na sheli ya Victoria
Ni dk1 tu kutoka barabarani
Bei mil 23 maongezi yapo
Kina ukubwa wa Mita 45*35*25*10
Hata mwenye pesa pungufu anaweza kulipa Kwa awamu so wasiogope kunicheki
Ukihitaji kuona unapelekwa
Kama uko interested piga no: 0759325932

Note: Mimi si dalali ni mmiliki

IMG-20201220-WA0010.jpg
 
Kama sio dalali sasa kwanini hujapiga picha ya neighborhood ili kujenga confidence kwamba hilo eneo tayari pameshaendelezwa?!Wengine huwa wanahofia kununua kiwanja sehemu ambayo haijaendelezwa (mbali na makazi).
 
Ndio maana nimeweka namba ukiwa serious nakutumia video unaona kila kitu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom