Kiwanja kinauzwa kimepimwa kipo mtwara mjini

kawakama

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,299
391
kipo Mtwara Mjini katika mtaa wa Mitengo jirani kabisa na mji wa Mikindani,kina ukubwa wa sq meter 1500
kimepimwa lakini hakina hati kwa kuwa bado hakijamaliziwa kulipiwa,mitngo ni jirani na bahari ambapo japo bahari haionekani kutokana na miti pamoja na nyumba za watu lakini upepo wa bahari unafika maeneo hayo
kama upo tayari ni pm tuzungumze.
 
Kawakama, kipo mkono wa kulia kama unaenda Mikindani, eneo hilo naona kuna mlima hivi hapo ndiyo Mitengo. Kuna umbali gani kutoka barabara ya lami, maji yanapatikana eneo hilo.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom