KIWANJA KINAUZWA KIMARA MAVURUNZA A (28m X 26m) milioni 15 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KIWANJA KINAUZWA KIMARA MAVURUNZA A (28m X 26m) milioni 15

Discussion in 'Matangazo madogo' started by kabasele, Aug 9, 2012.

 1. k

  kabasele Member

  #1
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 70
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Nauza kiwanja changu.

  Wapi? Kimara Mavurunza. Kilometa mbili kutoka Kimara mwisho.
  Ukubwa? mita 28 kwa 26
  Bei? milioni 15
  Sifa zingine?
  . Umeme upo
  . Barabara ipo mpaka kiwanjani
  . Ni sehemu ambayo tayari kumeshajengeka
  . Usafiri wa daladala upo
  . Ni karibu sana sana na barabara kubwa
  . Hakuna dalali
  Mawasiliano? 0782 230159
   
 2. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,631
  Likes Received: 2,055
  Trophy Points: 280
  Umesahau sifa nyingine moja na ya muhimu ambayo itatusaidia kufanya maamuzi ambayo ni JE KIMEPIMWA NA KINA HATI au KINA LESENI YA MAKAZI au NDIYO MAMBO YETU YALE YA KUUZIANA KWA WAJUMBE?
   
 3. k

  kabasele Member

  #3
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 70
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  bado hakijapimwa mkuu.
   
 4. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #4
  Aug 9, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,631
  Likes Received: 2,055
  Trophy Points: 280
  Ok mkuu kila la kheri na tutakusaidia kutafuta wateja ambao hawapiti humu
   
 5. cement

  cement JF-Expert Member

  #5
  Aug 9, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 583
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kwa bei hiyo nikujibu hautaweza kukiuza kaka bei yako ni kubwa sana kwa hayo maeneo nikukumbushe kitu kimara mavurunza hapo hapo fremu mpya jamaa yangu kanunua kiwanja kwa ml 7 na hicho kimepimwa na kina document full,na kila kisima kikubwaaaaa cha kisasa cha maji kiongozi!fikiria bei yako hiyo!
   
 6. k

  kabasele Member

  #6
  Aug 10, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 70
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  nashindwa ku compare kiwanja unachozungumzia na hicho cha kwangu kwa sababu hicho sikijui. Cement leo nimepewa mil 11 nikakataa kwa sababu thamani yake ni zaidi ya hapo. bado nasimamia pale pale japokuwa inaweza kupungua! kuna mazungumzo, haiwezi kuwa fixed.
   
Loading...