dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,188
- 2,219
- Thread starter
- #1,741
Ukizidisha ni hela nyingi hizo mkuuSerikali wakija kuthaminisha watakupa 10000 kwa sq meter..Siunajua eneo lako halina kitu chenye thamani
Ukizidisha ni hela nyingi hizo mkuuSerikali wakija kuthaminisha watakupa 10000 kwa sq meter..Siunajua eneo lako halina kitu chenye thamani
Price: TSH. 800,000 /= per month
asante sana mkuuAisee! Kizuri sana
Mkuu karibu uone kiwanja mkuu.10 mil kama anachukua tuwasiliane
Sana mkuu na ukilinganisha na eneo kilipo ni pazuri sanaHili kiwanja mwenye hela achukue tu
Hii ni assets nzuri sana
Karibu sana picha haionyeshi nyumba vzr.ila karibu uje ukague nyumba kwa macho mkuuMbona picha zake zimepigiwa mbali kama na mpita njia tu?
Anhaa sawa.. piga picha vizuri na hicho kiwanjaKaribu sana picha haionyeshi nyumba vzr.ila karibu uje ukague nyumba kwa macho mkuu
Tena mpiga picha akiwa ndani ya gariMbona picha zake zimepigiwa mbali kama na mpita njia tu?
OK sawa mkuu nitafanya hivyoAnhaa sawa.. piga picha vizuri na hicho kiwanja
Inafikirisha sana..Tena mpiga picha akiwa ndani ya gari
Hahaaa ulijuaje?Tena mpiga picha akiwa ndani ya gari