Kiwanja kinauzwa kigamboni- Mwasonga .

Eberhard

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
1,120
757
Wakuu kuna kiwanja kinauzwa kigamboni Mwasonga. Ni Jirani na dsm zoo. Ukubwa wake ni nusu heka. Mchaga wa kujengea unapatikana hapo hapo kwenye kiwanja. Kaupepo ka baharini safi kanapatikana. Kina hati ya serikali ya mtaaa Sh. 6M. Maelewano yapo
 
Muuzaji naona taratiiiiiibuuuuuu unaanza kuharibu biashara yako kwa majibu yasiyoridhisha kwa potential customers! Nasisi tukiakuambia nenda shule kasomee online marketing techniques ndo uje kuweka tangazo. Utajisikiaje?
Rudia kusoma tangazo.
 
Sawa tu mkuu. Uwe na jioni njema.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom