Kiwanja kinauzwa kibamba ccm,wahi sasa!!!!

Kwa aliye serious na hicho kiwanja apige namba iliyotolewa hapo juu,ahsanteni kwa kunirekebisha kosa langu la "ft badala ya mita".
 
kipo upande gani ukitokea mbezi! na pia ni 20*50 m! kama ni futi ni kwamba ata nyumba haitoshi kabisa! pia hiyo bei ni kubwa sana kwani kuna jamaa yangu alinunua kiwanja kibamba kwa mangi aka mji mpya ambao ni 0.5 km kutoka moro road chenye ukubwa wa 25*35m kwa mil 6.5 ila sio surveyed! punguza beo tufanye biashara!
Ukitokea Mbezi kipo upande wa kushoto.Hizo ni mita na sio futi.Mkuu viwanja vinatofautiana,kuna vingine tambarare na vingine madongo kuinama na gari haifiki!So,bei lazima itofautiane!
Hiyo 15m ni bei ya kuanzia,kama upo serious piga namba hiyo uongee biashara.
Cheers!
 
Kinakaribia na eneo la mloganzira? panapojengwa chuo cah Muhimbili? kwani watu wa maeneo hayo wameshalipwa wote waondoke.
 
Eneo wanalolipwa liko mbele zaidi ambapo kwa sasa ndio wanalipwa,hiki kiwanja hakipo eneo hilo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom