Samahani kwa kutoka nje ya mada, lakini ningependa kuongea ukweli kuwa UKRISTO SIO DINI YA HAKI, NDOMANA WAKRISTO WOOTE WAMELAANIWA, UKIWAANGALIA WAKRISTO WENGI USONI WANA SURA MBAYA KA MATAKO,
Acha bangi.mods toeni pigeni ban uyu mtu
 
Samahani kwa kutoka nje ya mada, lakini ningependa kuongea ukweli kuwa UKRISTO SIO DINI YA HAKI, NDOMANA WAKRISTO WOOTE WAMELAANIWA, UKIWAANGALIA WAKRISTO WENGI USONI WANA SURA MBAYA KA MATAKO,

Naomba niwe mtu pekee atakaekujibu

Najua umeandika hii ili kutaka comments na likes na mijadala mirefu

Naombeni tumpuuze mtu kama huyu kulinda hadhi ya jukwaa hili

Ahsante
 
Kwanini usingeacha mleta Mada ajibu mwenyewe??
Au ni wewe mwenyewe umeingia kwa ID ingine??
Manake sio kila mahali heka ni Mita 70 x70,
Wengine hutumia Sqm 4,047 kumaanisha heka, ambayo kitaalamu ndio sahihi,
Sasa unajikurupukia tu kumjibia mtu halafu uko wrong, dah
Kuwa polite kidogo mkuu, hv vitu vyepesi sana.
 
Kiwanja cha ukubwa 20 kwa 20 kipo kibaha Mlandizi.umbali toka morogoro road 2km.
Bei milioni 4
Mawasiliano zaidi kwa muitaji .karibu pm
 
Natafuta kiwanja maeneo ya madale au mabwepande....bajeti 5m.......7m
 
Lipo kibaha ya Mlandizi.umbal toka bara bara kuu ya morogoro road ni 6km.limepakana na Shule .pamoja na reli mpya inayoenda kiwanda kipya cha nondo cha kiluwa .
Bei milioni tatu kwa kila ekari.
Zipo ekari 4.
Eneo zuri kwa makazi.Shule .kiwanda.kilimo n.k
Kwa muitaji tunaweza wasiliana pm
 
Picha please
 
kuna shamba langu la heka 20, naliuza lina kisima kirefu 75miters, heka 3 zina drip, deasel engine na outonater, nyumba ya wafanyakazi pamoja na vijana wawili wapo shamba, kila kitu kipo tayari kuanza kulima hata kesho. nauza 30million tu. Lipo 5km from kibiti secondary gari ndogo inafika mpaka Shamba, pia kuna majirani kutoka dar na wanaendelea na projects. Mazungunzo yapo
Kwa muitaji tuwasiliane pm
 
Back
Top Bottom