Kiwanja kinauzwa Kabuhoro, Mwanza


M

Mangachini

Member
Joined
Mar 24, 2014
Messages
94
Likes
51
Points
25
M

Mangachini

Member
Joined Mar 24, 2014
94 51 25
Kiwanja size mita 26 kwa 34(medium size), ambacho tayari kimepimwa kinauzwa eneo la Kabuhoro, Mwanza. Kinatizama ziwani karibu na eneo zinapogeuzia Dala dala za Ibanda. Aliye serious ani-pm. Pia kwa simu 0786 868682
 
kabunguru

kabunguru

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2010
Messages
244
Likes
194
Points
60
kabunguru

kabunguru

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2010
244 194 60
Kiwanja size mita 26 kwa 34(medium size), ambacho tayari kimepimwa kinauzwa eneo la Kabuhoro, Mwanza. Kinatizama ziwani karibu na eneo zinapogeuzia Dala dala za Ibanda. Aliye serious ani-pm. Pia kwa simu 0786 868682
Bei Mkuu?
 
DUME SURUALI

DUME SURUALI

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2016
Messages
788
Likes
1,056
Points
180
Age
50
DUME SURUALI

DUME SURUALI

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2016
788 1,056 180
Acha biashara za kiseng.e wewe ..kwani ukiweka bei utashikwa tako? Au unahofia dalali mwenzio ataona hiyo bei?
 
N

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Messages
23,787
Likes
27,976
Points
280
N

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2007
23,787 27,976 280
Kule mwisho kabisa zinapogeuzia daladala si Ibanda hiyo mbona umesema Kabuhoro? Si daladala zinageuzia pale karibu na LAHE Hotel?
 
M

Mangachini

Member
Joined
Mar 24, 2014
Messages
94
Likes
51
Points
25
M

Mangachini

Member
Joined Mar 24, 2014
94 51 25
Watu wa Ardhi hilo eneo wanaliita Kabuhoro, na hati inasomeka hivyo
 
Rene Jr.

Rene Jr.

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2014
Messages
3,419
Likes
1,004
Points
280
Rene Jr.

Rene Jr.

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2014
3,419 1,004 280
Inatazama ziwa inamaana ni beach plot?
 

Forum statistics

Threads 1,273,558
Members 490,428
Posts 30,484,982