Kiwanja Kinauzwa - Jangwani Beach

MwanaHaki

R I P
Oct 17, 2006
2,401
705
Kiwanja kikubwa ambacho kinafaa kwa ujenzi wa nyumba za makazi (takriban zaidi ya 20), chenye ukubwa wa eka (si hekta!) 8, kinauzwa kwenye eneo la Jangwani Beach.

Kiwanja kina uzio wa ukuta wa matofali. Kinafaa kwa ujenzi wa nyumba za makazi ya watu, majengo ya ofisi, kiwanda, shule, na kadhalika.

Kama wewe ni mwekezaji MAKINI, tafadhali piga simu namba 0786-019019.

TUNAWATAKA WAHUSIKA PEKEE. MADALALI/MAWAKALA WA NYUMBA wasipige simu.

Bei ni maelewano.

./Mwana wa Haki

Kwa niaba ya mwenye kiwanja.
 
Maelezo - kama kweli unakitaka - yameandikwa. Piga simu, utaelezwa kila kitu.

Si vizuri kumwaga KUKU kwenye MTAMA MWINGI!

Nimeeleweka?

./Mwana wa Haki
 
Nataka asking price.....
Na swali la je ni beach plot hujajibu...
Nijibu...
 
Kiwanja kikubwa ambacho kinafaa kwa ujenzi wa nyumba za makazi (takriban zaidi ya 20), chenye ukubwa wa eka (si hekta!) 8, kinauzwa kwenye eneo la Jangwani Beach.

Kiwanja kina uzio wa ukuta wa matofali. Kinafaa kwa ujenzi wa nyumba za makazi ya watu, majengo ya ofisi, kiwanda, shule, na kadhalika.

Kama wewe ni mwekezaji MAKINI, tafadhali piga simu namba

Kama wewe ni mwekezaji MAKINI, tafadhali piga simu namba 0786-019019 0786-019019.

TUNAWATAKA WAHUSIKA PEKEE. MADALALI/MAWAKALA WA NYUMBA wasipige simu.

Bei ni maelewano.

./Mwana wa Haki

"Kwa niaba ya mwenye kiwanja".

kumbe ndo mana hutaki ma dalali, umekwisha kula tenda!.Jangwani beach nyingi ni ipi, ya magomeni au ???
 
Mkuu kwanini usikimege ukauza kidogo kidogo? I mean plot ndogo ndogo ila na walala hoi waweze kupata?
 
Taja bei basi....
Je ni beach plot????????

Kaka soma PM yako.

Sio beach plot. Huwezi, kwa sasa, kupata beach plot (within the Dar es Salaam Greater Metropolitan Area) ambayo ina ukubwa huo. Eka nane ni kubwa mazee.

Nimeona nimalize ubishi.

Hatufanyi biashara za kitapeli, wanaosema mtu hapa akiingia "kichwakichwa" hasara ni yake. Kama kweli wewe mwekezaji, basi, tunazo documents, na tunakuruhusu uende kunakohusika ufanye ukaguzi zaidi.

./Mwana wa Haki
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom