Kiwanja kinauzwa haraka Gezaulole, Kigamboni

Kyatsvapi

JF-Expert Member
May 15, 2009
317
196
Wakuu,
Kuna kiwanja kinauzwa kwa haraka Gezaulole. Kiwanja hicho kina sifa zifuatazo;
1. Kimepimwa na kina offer.
2. Kina ukubwa wa 1,287sqM.
3. Bei yake ni shilingi milioni kumi na sita (16,000,000/=). Hii ni bei ya kuuzia. Dalali hatakiwi.
4. Kama unakihitaji, tafadhali nipm.

Barikiwa.
 
Wakuu,

Kimeshauzwa. Nashukuru kwa wote pamoja na wale waliokejeli.


Barikiwa.
 
Nina Milioni 2 ambayo siitumi Leo Wala Kesho na Sioni Umuhimu wa hiyo hela kuendelea kukaa Bank.

Mwenye Kiwanja chake naomba aniuzie. Kifikike kwa Gari.

Nakusubiria Inbox.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom