Karibuni wadau.Karibuni wadau.
Ndiyo maeneo hayo jirani na kwa muitaliano.Goba centre ndio wapi au ndio kwenye makutano ya barabara za mbezi luis~masana na ile ya makongo juu
ni mwendo wa dakika 7 kwa mguu kutoka barabara kubwa.Mkuu kiwanja hicho kiko barabarani ama ndani kidogo .kama ni ndani je ni umbali gani Kuja barabara kuu hii inayojengwa
Mkuu unakunywa bia gani? Yaani tungekuwa tumekaa mahali ningemwita yule binti haraka akusikilize na mtu wa jikoni angeambiwa achangamke.Mkuu Bizney kwa faida yako , yetu na wengine wote wanaosoma matangazo yako--ukiweka tangazo weka complete information, never assume watu wanajua unaongelea nini:
Weka kwa dhana hii:
Kitu uuzacho: mfano Kiwanja cha ukubwa sq m 1000, eneo la tambarare
Sifa zake: Sq 1000, kuna maji na umeme karibu. Kipo kwenye kona au jirani kuna shule metre 200 from there
Eneo: mf Goba centre, KmXX kutoka mbezi masana/ tanki bovu na kiwanja kipo Km XX kutoka Goba centre
Nyaraka zilizopo: Hati iliyotolewa mwaka XX
Mawasiliano: Simu no XXXX
Bei : tsh XXX , mazungumzo yapo
bila hivi utakazana karibuni wadau mara elfu, kuna watu kama tangazo lako limekaa nusu nusu , tayari unaonekana una utapeli fulani kumbe sivyo. All the best.
goba kungungu st joseph dk 10 to 15 from massana hosp tangibovu kina nyumba ya kukarabati ina umeme mita ya luku maji yapo jirani sana " nyumba ya jirani "20*25 eneo gari inafika mpaka mlangoni bila usumbufu bei 23m maongezi yapo marefu tu! 0653992118 kwa info zaidi
bei imeshuka from 20m maongezi yapo
mbona unaingilia thread ya mwenzio au una ID mbili ?