Kiwanja kinauzwa GOBA - (40m X 40m) Residential Area

Joe_Loyd

New Member
Apr 16, 2012
2
0
Nina kiwanja nauza GOBA umbali wa 1km kutoka Goba Stand. Kina ukubwa wa mita 40 kwa 40. Kipo mahali pazuri karibu na barabara na umeme haupo mbali.

Kwa anayehitaji awasiliane nami kwa 0762-088603

Bei ya kuuza ni 12.2 Milioni...Inaweza kupungua kidogo DSC_0168.JPG

DSC_0167.JPG
 
Kina hati?
Umeme na maji?
Barabara?
Kama majibu yote ni ndio...karibu pm kwangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom