kiwanja kinauzwa eneo la Morroco kinondoni/ Plot for sale Morroco Kinondoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kiwanja kinauzwa eneo la Morroco kinondoni/ Plot for sale Morroco Kinondoni

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Aleshers, Oct 19, 2012.

 1. Aleshers

  Aleshers Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  kiwanja kinauzwa eneo la morroco wilayani kinondoni, kiwanja No 69 Block 42, Sqm 1046 kwa mawasiliano zaidi Simu 0714169292
   
 2. J

  John W. Mlacha Verified User

  #2
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  kipo karibu na msikiti ama kanisa?
   
 3. Root

  Root JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,233
  Likes Received: 12,942
  Trophy Points: 280
  Bei yake?
  Umbali toka barabarani?
  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 4. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,789
  Likes Received: 36,804
  Trophy Points: 280
  Hivi viwanja navihofia, unaweza nunua alafu kesho kutwa Ponda na vijana wake wakaweka kambi hapo.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 5. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,085
  Likes Received: 7,315
  Trophy Points: 280
  Enzi zetu ilikua ukinunua kiwanja unachunguza kama ni Open Space ama vipi,

  Siku hizi eti unachunguza umbali kutoka kanisani ama msikitini.

  Kisa? Mbagala!!!!
   
 6. Micha

  Micha JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 269
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Morroco kuna viwanja mpaka leo au una uza open space za kuchezea watoto wetu?
   
Loading...