Kiwanja kinauzwa Dodoma

HAKUNAGA

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
301
72
Kiwanja kinauzwa, kipo eneo la Mwangaza-Dodoma kina ukubwa wa 3081 sqm, terms 33yrs, bei ni Tshs 8,000,000/= (kwa mawasiliano nipigie kwenye namba 0784-715619 au 0754-548430 au 0719-676614)
 
Hujasema kama kimepimwa au vipi.

Wasiofahamu eneo hilo hawataweza kutambua kuna umbali kiasi gani toka wapi kukifikia kiwanja.

Maelezo yakiwa straight inapunguza maswali.
 
Mwangaza ni upande wa Martin Luther?kuna umbali gani kutoka barabarani? ni block gani??
Kiwanja kinauzwa, kipo eneo la Mwangaza-Dodoma kina ukubwa wa 3081 sqm, terms 33yrs, bei ni Tshs 8,000,000/= (kwa mawasiliano nipigie kwenye namba 0784-715619 au 0754-548430 au 0719-676614)
 
Wakuu kiwanjwa kimepimwa, Kipo Block "F" ni jirani na reli, usawa wa Martin Luther School
 
Wakuu ili kufika eneo hili kuna umbali wa kilometa sita toka mjini. Katika plot hizo barabara zimeshachongwa hivyo kama unahitaji ni vizuri ukafika na kupaona. Kwa taarifa zaidi hebu nicheki kwa namba 0784-715619 au 0754-548430 au 0719-676614)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom