SOLD: Kiwanja kinauzwa (Chanika) kwa malipo ya awamu nne

Status
Not open for further replies.

Login17

Member
Jun 21, 2017
83
69
Wakuu ninauza kiwanja changu 66ft kwa 131ft kipo uelekeo wa Chanika (kutokea Pugu) kituo kinaitwa Kwachikila (Karibu na Sheratoni). Ukishuka hapo bodaboda ni elfu 1 hadi 1.5 mpaka unafika kwenye kiwanja.

Nilinunua kiwanja 8m waka 2015 ila kutokana na tatizo lililonipata ninakiuza kwa 5m (Gharama za serikali za mitaa nitalipa mimi) na nahitaji malipo ya awamu nne. Awamu ya kwanza 2.3m, na awamu tatu zinazofata kila mwezi laki 9 kukamilisha balance ya 2.7m. Kiwanja hakina chochote zaidi ya miti ya matunda michache niliyopanda.
 
Kwa aliye interested tafadhali awasiliane na mimi mwenyewe kwa maelezo zaidi: 0687868455
Weka picha
 
Mkuu mbona umetuletea offer ya Ajabu namna hii? Hakika umeangalia mazingira halisi ya mtanzania. Nitakutumia namba ya dogo langu aje kukiona kesho na ikiwezekana mmalize biashara kama vipi...
 
Karibu sana mkuu.
 
Kumbuka kiwanja hiki hakijapimwa na picha sina ila kesho asbh nitaenda site kuwaonesha watu hivyo nitapiga picha na kuziupdate hapa.

Kwa aliye interested tafadhali awasiliane na mimi mwenyewe kwa maelezo zaidi: 0687868455
Bora ukiuze mapema kabla Lukuvi hajakufikia kaka..
 
kuna maji karibu na hiyo site?
 
Mkuu mbona umetuletea offer ya Ajabu namna hii? Hakika umeangalia mazingira halisi ya mtanzania. Nitakutumia namba ya dogo langu aje kukiona kesho na ikiwezekana mmalize biashara kama vipi...
Mkuu dogo hakufika bei, Kaomba ajipange siku mbili tatu. Ila eneo alilipenda.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom