Kiwanja kinauzwa Bunda

GIPAMA

JF-Expert Member
May 21, 2016
1,103
541
Ndugu wana JF....... Nina kiwanja kinauzwa. Kipo Bunda, kata ya Balili na mtaa wa Balili.,
Kipo umbali wa 0.5KM toka barabara ya Mwanza Musoma mkono wa kulia ukiwa unatokea Mwanza kwenda Musoma. nguzo za umeme ya umeme ipo karibu na kiwanja.

SIFA YA KIWANJA.
-Kiwanja kina urefu wa miguu 55 na upana miguu 35.

-Kiwanja hiki kina MSINGI.

SIFA ZA MSINGI.
-Msingi una vyumba vitatu vya kulala na kimoja wapo ni self.
-kuna dinning, sitting room, choo cha umma, na stoo.

Kwa anaehitaji kwa aliyepo Bunda ama sehemu yeyote anicheck inbox tupeane mawasiliano, aje akione na tuzungumze bei.

BEI NI MILION 13

"Nawatakia kristmass njema"
 
Wakuu, Bei ni maelewano, ila kwa kuwa kipo pazuri na panafikika kwa usafiri wowote, na kutoka hapo kwenda mjini kati ni dakka5 tu ukiwa na usafiri wa pikipiki.

Bei ni MILION13.... Ambaye yupo tayari aje akione, na atakayetaka mawasiliano aje PM ili tupeane mawasiliano.
Ndugu wana JF....... Nina kiwanja kinauzwa. Kipo Bunda, kata ya Balili na mtaa wa Balili.,
Kipo umbali wa 0.5KM toka barabara ya Mwanza Musoma mkono wa kulia ukiwa unatokea Mwanza kwenda Musoma. nguzo za umeme ya umeme ipo karibu na kiwanja.

SIFA YA KIWANJA.
-Kiwanja kina urefu wa miguu 55 na upana miguu 35.

-Kiwanja hiki kina MSINGI.

SIFA ZA MSINGI.
-Msingi una vyumba vitatu vya kulala na kimoja wapo ni self.
-kuna dinning, sitting room, choo cha umma, na stoo.

Kwa anaehitaji kwa aliyepo Bunda ama sehemu yeyote anicheck inbox tupeane mawasiliano, aje akione na tuzungumze bei.

"Nawatakia kristmass njema"
Wakuu, Bei ni maelewano, ila kwa kuwa kipo pazuri na panafikika kwa usafiri wowote, na kutoka hapo kwenda mjini kati ni dakka5 tu ukiwa na usafiri wa pikipiki.

Bei ni MILION 13... Ambaye yupo tayari aje akione, na atakayetaka mawasiliano aje PM ili tupeane mawasiliano.
 
Kikubwa, alietayari aje PM tupeane contacts alafu tuwacliane aje akione.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom